Msanii STAMINA ambae anaunda kundi la ROSTAM akiwemo yeye na Roma ,Amefunga ndoa tayari! Na mkewe Bi. Veronica iliyofungwa mapema jana katika kanisa la Mtakatifu Consolotha lililopo SUA-Morogoro, na wasimamizi wa ndoa yake ni rapa #RomaMkatoliki na mkewe @mrs_roma2030
--------
.Tizama picha hapa chini
0 comments:
Post a Comment