Alikiba kwenye page yake ya Instagram ameandika kwamba ikiwa nyimbo ya ommydimpozi itafikisha views milioni 3 ataliamsha dude .
Nyimbo ya ommydimpozi YANJE amemshirikisha masanii wa nigeria sey shay na imeimbwa kwa lugha 3 kiengeleza,kiswahili na kirwanda.
0 comments:
Post a Comment