Latest Comments

weka tangazo lako hapa

Content

Showing posts with label entertainment. Show all posts
Showing posts with label entertainment. Show all posts
0 comments

ALICHOKIAHIDI ALIKiBA BAADA YA OMMYDIMPOZI KUACHIA NYIMBO.

Alikiba kwenye page yake ya Instagram ameandika kwamba  ikiwa nyimbo ya ommydimpozi itafikisha views milioni 3 ataliamsha dude . 

Nyimbo ya ommydimpozi YANJE amemshirikisha masanii wa nigeria sey shay na imeimbwa kwa lugha 3 kiengeleza,kiswahili na kirwanda.

Read more »
0 comments

PICHA: HArusi ya ALIKIBA YALETA GUMZO,ALIPWA 600ML

APR 19 NDIO SIKU AMBAYO WAZAZI WA KING KIBA, ALIKIBA wAlifunga ndoa yao  .Lakini leo tarehe Apri 19 2018 ndio siku anayofunga harusi Mwanamuziki nguli Alikiba kma watu wa muitavyo majina mengi ama kipusa.
Inasemekana kingkiba alipwa zaidi ya ml 500 na kituo cha tv cha azam ili kuwa na haki ya kurusha moja kwa moja kutoka mombasa.

Read more »
0 comments

Diamondplatnum kufungua WCB branch KENYA

Sasa simbaa kuifanya WCB brand ya kimataifa zaidi sio tu kimuziki bali kiofisi pia kwenye page  ya instagram perfecto amescreenshot page ya diamond platnum ikisema 'kuwa wanataka kufungua tawi la WCB kenya  ni msanii gani awe  wakwanza  kusainiwa ? Ikiwa ni juhudi za kuinua vipaji vya wasanii wadogo.

Read more »
0 comments

New song from kissdaniel 4days

Flyboy droped the new hit  video song directed by sesan

Click link below to watch

https://m.youtube.com/watch?v=lfdlYBxd96c

Read more »
1 comments

Mwanamuziki wa hiphop CHEMICAL aonekana na asali wake

Mwanamuziki wa kike wa hihop chemical baada tu ya kutoa nyimbo yake inayoitwa asali
Na kumshirikisha beka flavour ameonekana ktka picha kadhaaa akiwa na maxmizer kimahaba

Read more »
2015-Khomgodlove . Powered by Blogger.

ADs

Popular Posts

Something