Latest Comments

weka tangazo lako hapa

Content

Saturday, May 12, 2018

MKITO WATOA MTONYO | BLOGER ANATAKIWA JISAJIRI MKITO.COM UPATE KULIPWA

Mkito wametangaza kuwa wanahitaji mabloger kuweza kupost nyimbo mpya NA MWISHO WA KUJISAJIRI NI TAREHE 31 MWEZI WA TANO .KWA TAARIFA ZAIDI PITIA mkito.com au page yao ya instagram .ili uweze kujisajiri

Kumbuka ili uweze kusajiriwa lazima blog yako iwe inaangaliwa kuanzia  mara 50,000 au views 50,000 kwa mwezi ama zaidi

0 comments:

Post a Comment

2015-Khomgodlove . Powered by Blogger.

ADs

Popular Posts

Something