Latest Comments

weka tangazo lako hapa

Content

Wednesday, February 14, 2018

ZARI THE BOSS LADY ATENGENGANA NA DIAMOND (SIMBAAA)

Habri zilizopo mitandaoni kwenye pge yenye jina la zarithebosslady instagram  imeandika kutokana na kusikika ama kufanyika kukosa uaminifu kwa diamond platnumz wao wameamua kutengana rasmi na watakuwa wazazi tyu kwa wanawe wwili na kimahaba tena ,ikiwa habari ni za kweli basi kwa wale mabinti waliokuwa wanamvizia simbaa  milango wazi

0 comments:

Post a Comment

2015-Khomgodlove . Powered by Blogger.

ADs

Popular Posts

Something